Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu
Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo.
a. Picha 3 za passport
b. Copy ya TIN certificate
c. Copy ya kitambulisho cha taifa
2.Baada ya kuhakikisha viambatanisho vinavyohitajika, mwekezaji anatakiwa Kujaza fomu ya...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri.
Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis.
Swali langu ni uwekezaji upi kati ya UTT na hatifungani una faida zaidi kwa mwekazaji katika maana ya ukubwa wa faida...
Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka.
Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama nilivyosema hapo awali. Dhamana hii itakuja na kuponi mbili kwa mwaka, yaani kila baada ya miezi sita (06)...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali.
Bashungwa...
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.