Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka.
Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama nilivyosema hapo awali. Dhamana hii itakuja na kuponi mbili kwa mwaka, yaani kila baada ya miezi sita (06)...