Habarini wana jamvi poleni na swaum lakini pia mfungo mwema kwa wenzetu waislam. Nimependelea nije na mkasa huu hususani katika kipindi hiki cha mfungo kwani ni funzo tosha katika maisha ya kila mmoja wetu.
Mkasa huu sio chai kama wengi walivyozoea kuleta nadharia fikirika.. lahasha huu ni...
Kuna shughuli na kazi za kila siku tunazozifanya kujipatia mahitaji yetu muhimu na kujenga uchumi wetu Binafsi, na kuna kazi zinazoweza kukupa sifa mbele za watu lakini hazitakupa hatma nzuri yenye tija ya uchumi toshelezi wa maisha yako.
Kibaya zaidi kazi za namna hiyo zinachukua muda mwingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.