Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi.
Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia.
Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?.
Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila...
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024.
Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
Hi Great Thinkers.
Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote.
Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome.
Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya.
Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
Moja kwa moja....
Nilimsikia mama mmoja anasema katika ulimwengu wa roho amechinja wachawi karibu mia, alipewa upanga na malaika. Sasa watu mia kuchinjwa rohoni ni upotevu mkubwa wa nguvu kazi.
Mwingine unamsikia anasema walikuwa wachawi, wanasababisha ajali, wanakinga damu. Wanajinadi kuwa...
Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu.
Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.
Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
Katika kuelezea ubadhirifu ambao umebainishwa katika ripoti za CAG, Mbunge Luhaga Mpina ataka hatua zichukuliwe dhidi ya viongozi ambao wanahusika na makosa yao. Hii ni pamoja na kuwawchukulia hatua mawaziri.
https://youtu.be/6O75Oiw0xZs?si=eLt2cBTuY1bMzg0f
/
Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe.
Mbinu wanayotumia...
Ukiachilia mbali mkataba wa bandari ambao Serikali imesaini kuwapa bure waarabu wa Dubai bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa makuu, kumbe pia;
1. Inadaiwa serikali imeingia na kusaini mkataba wa kuwapa waarabu hawahawa hekta za misitu ya Tanganyika milioni 8 eti watusaidie kutunza...
Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga.
Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha.
Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani.
Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana...
Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache walioko Serikalini, pasipo kuchukuliwa hatua zozote.
Lakini tunashuhudia magereza yetu, yakiwa yamefurika...
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani
Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
Mtu ambaye amepitia struggle ya kudaiwa kiwango cha pesa ambacho kipo nje ya uwezo wake atakuwa ashaelewa nini namaanisha.
Mfano unafanya kazi unalipwa 500,000/= per month una madeni sehemu tofauti lakini Total ya madeni yako ni 10,000,000/= ikumbukwe kwamba kwenye hayo madeni kuna madeni...
Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake.
Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.