hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

    Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa...
  2. Maktaba ya Kiswahili Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ni hatua ya kupongezwa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa taarifa ya kufunguliwa rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek, nchini Namibia. Lililonivutia katika hatua hii muhimu katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasiani ni uamuzi wa ubalozi kufungua maktaba ndogo yenye...
  3. Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  4. M

    TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  5. R

    Bashe jiuzulu kulinda heshima yako; wanaokuhujumu wanatumwa na mahasimu wako

    Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga. Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
  6. Muda wa hatua ya mabadiliko ni sasa

    Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabadilika; vijana wanakuwa wazee, Teknolojia inakua kwa kasi, biashara na makampuni yanabadili utaratibu wa kujiendesha but still unataka uwe vile vile, who the hell do you think you are? Kila siku unataka ufanye vitu kwa style ile...
  7. Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

    Habari Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwao
  8. Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika kumwandaa Mtoto kuwa Raia mwema Mtandaoni?

    Kuanzia hatua za awali katika ukuaji, Watoto wanapaswa kufundishwa Haki, Wajibu na Hatari zinazoweza kutokea wasipotumia vizuri Majukwaa ya Kimtandao. Huwajengea hali ya Uwajibikaji na Tabia Njema zinazowafanya kuwa Raia wema wawapo Mtandaoni. Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika...
  9. Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
  10. Prof. Mkenda: Shule nne zilizofanya Udanganyifu Mtihani kidato cha nne 2022 zichunguzwe na hatua zichukuliwe

    Na WyEST MWANZA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022. Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
  11. Ni hatua gani zinastahili kufuatwa ili kanunua nyumba au kiwanja kuepuka migogoro hapo baadae

    Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua! Nitashukuru kwa hili.
  12. Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

    Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto, Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.) Huwa...
  13. Jinsi ya kumpa mwanamke zawadi siku ya Valentine kwa kujua hatua mliyopo

    Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
  14. Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

    Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™. Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
  15. N

    Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  16. Hawa JATU bado hawajachukuliwa hatua?

    Nimekutana na hili tangazo kwenye group moja la whatsup. Nadhani kwenye mkutano huu vyombo vya dola viwepo na wahusika wa kusaidia wananchi kuondokana na fikra potofu - kudanganya kilimo kinafanywa kwa njia ya simu na kuwekeza mahela bila kufanikiwa, wapewe haki zao! Mauza uza kama haya 2023...
  17. S

    Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  18. Ifike hatua, wanawake muwe na huruma dhidi yetu wanaume

    Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
  19. I

    DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  20. Takwimu zinaonesha yapo mambo ya kuipongeza Serikali na yapo ya kuisaidia ili tupige hatua zaidi

    Kwa mujibu wa takwimu za Nguvukazi na soko la ajira Tanzania (Bara na Visiwani) mwaka 2021/2022 lipo jambo ambalo tunapaswa angalau kuona jitihada na kulisema kwani ni hatua ya kuonesha jitihada za makusudi kufikia lengo. Takwimu zinaonesha umasikini Nchini Tanzania ulishuka kutoka asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…