Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...