hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

    Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Watu wanaozidisha kiwango cha kelele usiku wanachukuliwa hatua gani?

    Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

    Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe (Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 ) Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa ' matajiri ' ili kuweka matajiri wake wapya watakaokuwa msaada kwake. Rais Putin wa Russia alifanya hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…