Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara.
Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
Hapa ni uwazi na ukweli.
Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira.
Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo alituona wajinga.
Aliwahi kusema toka akiwa mdogo/ mtoto akiona yanga imeshinda alikua anajificha gizani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.