hatumtaki haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
  2. M

    Haji Alisema, Yanga wenye akili ni wawili tu, Andika neno " hatumtaki Haji" ili uongozi ujue mashabiki hatuna habari nae

    Hapa ni uwazi na ukweli. Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira. Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo alituona wajinga. Aliwahi kusema toka akiwa mdogo/ mtoto akiona yanga imeshinda alikua anajificha gizani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…