Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa.
Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo...
Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia hatumtaki tena Yanga.
Manara anagombana na kila mtu. Kagombana na Shafii, Kitenge, Jemedari Said...
ANAYEMTAKA AJE MEZANIš¤£š¤£.
Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu.
Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa karibu na Feisal wakasemezana na kushirikiana na dada zao Azam Fc "Inabidi tuwachanganye Yanga...
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...