hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  2. Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
  3. D

    Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  4. Huyu Chama kagundua Yanga hatuna mzuka naye sasa anataka kuwa anatuchomesha kwa Mikia

    Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha. Amekuja huku anakula ubwabwa tu na kuhangaika na mademu. Fala sana huyu. Halafu analeta tena habari za...
  5. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  6. Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  7. Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

    Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
  8. Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  9. Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  10. I

    Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

    Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah) wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na...
  11. Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  12. S

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    Habari za ijumaa wanajamiiforums? Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili? Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu. Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda...
  13. Kwenye Uchaguzi Huu CHADEMA hatuna cha kujifunza kutoka CCM

    Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya uenyekiti wa chama. CCM ni wageni wa mashindano haya ya Demokrasia ukiona wanashangilia usiwashangae...
  14. Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
  15. G

    Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  16. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  17. Swali: Kwanini project nyingi ndogo ndogo za afrika ili ziendelee, inabidi tuombe pesa toka huko kwa wazungu? Kwetu hatuna matajiri?

    Habarini: Sizungumzii project kuuubwa, k.v ujenzi wa SGR au bwawa la umeme nazungumzia project za kawaida kama ujenzi wa choo cha wanafunzi, au darasa au maabara kwenye shule, au ujenzi wa vyumba vya waalimu, kisima, dispensary etc Sometimes unakuta hela inayohitajika sio pesa nyingi sana...
  18. M

    KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  19. Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

    Amani iwe nanyi ndugu Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu Wanetu hatuna kocha
  20. M

    Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…