haufai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

    Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala, Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7 Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga Wametupa bia Nazo...
  2. F

    Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  3. Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

    Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana. Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe. Kwa mtazamo wangu...
  4. Kiongozi ni sifa ila ukikosa sifa moja wapo kati ya hizi haufai kuwa kiongozi na ondoka madarakani

    Uongozi sio tunu wala sio nguo kwa hisani utapatiwa ila ni nidhamu pamoja ushawishi wa kimamlaka ambapo unatakiwa kuvionesha hata kabla haujafika katika ngazi ya uongozi,leo nitaorodhesha sifa tano ambazo kiongozi unatakiwa kuwa nazo hata kabla hujaomba ridhaa ya kuwa mgombea. 1. Nguvu ya...
  5. M

    TFF mpo mpo tu mnazunguka kwenye viti, huu uwanja wa Tabora haufai kuchezea ligi

    Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga. Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
  6. Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  7. R

    Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  8. M

    Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  9. Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  10. U

    Kwenye Imani yetu Kwanini ukijaribu kunukuu baadhi ya mafungu unaonekana kuwa haufai?

    Wadau hamjamboni nyote Nakiri mimi ni Muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato tena wa kuzaliwa kukulia & kulelewa ndani ya Kanisa. Miongoni mwa mambo yanayoniumiza kichwa ni pale unapotaja baadhi ya mafungu ya biblia ili ufafanuliwe lakini ukaonekana haufai bila kuelezwa sababu za msingi...
  11. Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  12. Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

    Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani. Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma...
  13. Wimbo wa Stella wake Freshly Wamburi ni wa kibaguzi, haufai.

    Kwenye wimbo huu kuna sehemu anasema, "Mchumba wake mfupi, Futi nne mjapan." Huu ni ubaguzi na kama matusi kwa wajapan. Haijakaa poa.
  14. Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  15. M

    Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

    Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki. Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro. Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki? Huyu mama Suzan Kaganda...
  16. M

    Propaganda zinasukwa Simba Day isihudhuriwe na watu wengi ili uongozi wa Simba uonekane haufai

    Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja. Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…