haupo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  2. Usibebe mimba kama haupo tayari kulea

    Mwanamke akishapenda sehemu, Cha kwanza huwaza kuzaa( kumzalia huyo mwanaume) akidhani kwamba akimzalia ndo atamtuliza na mwanaume anazidisha mapenzi kwake kwakua wamezaa. Zaa ukiwa na Utayari ndani ya nafsi Yako wa kumlea huyo mtoto, ukiwa na Utayari hata kama ikitokea mmetengana huwezi...
  3. S

    LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  4. Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  5. M

    Ukisikia ulivyosemwa kipindi haupo tena na ambao ulijua wangekutetea hata usipanic(hamaki), ndivyo ilivyo kwenye jamii maskini ✍️

    UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️ Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine yaani kwa lugha rahisi tuseme Majungu. Ondoka usemwe huu ni msemo maarufu sana wenye maana kuwa...
  6. Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  7. Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  8. Kama umakini haupo Kwa Ili la umeme nyuklia Tanzania uwezi kuwepo

    Umeme wa nyuklia ni umeme mkubwa sana ambazo hauna siasa Wala mjadala. Ila Kwa hapa Tanzania tunayo yaona kukosa umakini kwenye idara nyingi mfano Tanesco basi tunaweza kusabisha majanga. Kilicho nikumbusha Ili ni kile kinu Cha ukrain kilicholipuka miaka sovient na Cha pili kule japani kilicho...
  9. M

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  10. Kikristo, uchawi haupo

    Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi. Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo. Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi. Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba...
  11. D

    Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

    Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana. Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
  12. D

    Utamaduni wa kututanganzia viongozi wakuu na wastaafu wanapoumwa haupo, inapotokea tunapata mashaka

    Ukweli usemwe tu! Kiongozi anapoumwa hapa nchini kwetu imekuwa kama kasumba kuficha ficha sana kutoa taarifa. wakati ni haki ya umma kufahamishwa alipo mtumishi wao wanayemlipa! Hata taarifa zinapotoka huwa kwa mbinde sana! Na taifa hilihili linapotoa taarifa kirahisi pasipo kuombwa ombwa...
  13. Nimehakikisha sipo peke yangu, haupo peke yako

    Natumai mmeamka salama kwa Neema na Baraka za Mungu. Tumshukuru Mungu sote kila moja kwa namna yake, kwa kibali na zawadi ya Uhai na Afya alizotukirimia tena leo. Nikiwa naelekea kwenye mishemishe zangu na labda baadae kidogo kwenye ibada ya pili, mitaa ya Mwenge. Nimepata fursa ya kusikiliza...
  14. Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

    Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja. Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana kilichonifanya nije na huu uzi. Nimeuliza wanawake zaidi ya 10 swali 1 ambalo ni Je, Mpenzi wako akikosa...
  15. Wimbo wa Mr. Blue ft Lady JD Sema haupo katika platform zote za music

    Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda kuweka kazi zake huko?
  16. G

    Wanaokataa uchawi haupo na bado wanaenda makanisani na misikitini wana dini za utambulisho na kuzugia tu

    Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao. Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
  17. Haupo ulivyo, Dunia haipo ilivyo!

    HAUPO ULIVYO! DUNIA HAIPO ILIVYO! Mpaka miaka mitano iliyopita sikuwa naamini katika mambo ya kiroho, niliamini katika elimu yangu,na bahati mbaya nilikua nimesomea mambo ya sayansi katika miaka yangu yote ya sekondari(kidato I-VI)hivyo niliamini sana katika elimu, sayansi na teknolojia,wakati...
  18. E

    Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

    Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii. Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
  19. Q

    Mama wakati wewe haupo, mengi yametokea

    Zitto katuambia kumbe zile korosho mlizimwaga baharini, watu wana siri sana. Mama Kikwete anataka eti na yeye alipwe kiinua mgongo cha mmewe. Kingine mama wakati wewe uko royo tua msajili amekipiga kufuli chama cha Umoja kutumia picha ya mtangulizi wako eti yeye sio mwanachama wake. Naye...
  20. #COVID19 UVIKO-19 Tanzania: upo au haupo?

    Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana. Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe. Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa. Toka awali kabisa nilisema kuwa huo ugonjwa, kwa mtazamo wangu mimi, siyo mkali sana kama tulivyokuwa tunaambiwa. Kwa hapa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…