Habari wakuu.
Kwanza nianze kukupa hongera kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kufuzu kwako makundi kwenye michuano ya CAF Champions League, hakika umepambana kwa kuitoa SIMBA pale ilipokuwa mpaka hapo ulipofikia.
Ila ningependa kukuonya na kukuonya tena, onyo hili ambalo hautalisikia kwa mtu...