hawa mwaifunga

Hawa Subira Mwaifunga (born 27 March 1976) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats as women representative and serves as member of parliament since 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mbunge wa viti maalumu Hawa Mwaifunga: Shule zimechakaa sana zitaleta maafa makubwa sana

    Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  2. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA ajitambulisha kama MwanaCCM akichangia hoja Bungeni

    Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁 --- Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara...
Back
Top Bottom