Wizara ya Fedha na Mipango imesema asilimia 40 ya Watanzania bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Novemba 15, 2022 na Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya fedha, Charles Mwamaja wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu wiki ya fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.