Habari,
Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021.
Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa maisha. Watu wamefika umri wa kustaafu ila wamebaki ofisini kwa sababu hawajalipwa mshahara na pesa...