Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru.
Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
Wanafunzi 11,413 ambao ni asilimia 45 ya wanafunzi 25,362 waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule wa sekondari mkoani hapa hawajaripoti shuleni tangu shule hizo zilipofunguliwa Januari 9 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amesema hayo Februari 2, 2023 wakati akitoa...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio.
Aidha amesema...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo.
Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.