Matokeo ya Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12 iliyozocheza.
Ukiachana na kichapo cha leo ilichopata Mbeya City, mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa...