Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.
Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Ni ngumu sana mwanamke kukuheshimu ukiwa mwema sana kwake. Mwanamke anamuhesmimu mwanaume anaemuogopa. Hapa siongelei physical appearance, violence au abuse.
Am talking about the respect that stems from knowing you are a man of strength, principle and authority. Without that dynamic modern...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Mpo salama!
Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.
Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda...
Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani.
Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao.
Amesema ataiuza sex robot...
Ndugu zangu salaam sana..
Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.
Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2
Baada...
Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi.
Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji.
Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.
Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.
Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
Kama ulikua hujui hili basi leo elewa.
Kazi ya mke kwenye familia ni pamoja na kumwombea mme wake afanikiwe kila jambo.
Kama mke mzinzi basi hapo jua upo peke yako.
Mke mzinzi hawezi kumwombea mme wake.
Moyo wake unapenda watu wawili wakati akiwa anaomba Mungu anaangalia moyo wake Mungu...
Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.