haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  2. JamiiForums Tanzania Eti anasema hapendi kutembea uchi, alafu yuko uchi. Haya ndo maadili kweli?

    Watoto wa mjini wanausemi wao siku hizi wanasema, "aibu utaona wewe" Vipi maoni yenu, tukubali hii ni kawaida tu ama joto la El Nino?
  3. JamiiForums Tanzania Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

    Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka. Pesa ni thamani na si makaratasi. Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value. CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Matumizi haya kwa bando la bukubuku naona naelekea kufilisi biashara ya watu

    Kwa matumizi haya na mshahara wanaonilipa na faida wanayopata, ni bora kuacha kazi nisijekufilisi biashara ya watu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Heche mkutanoni Nzega: Haya tunayoyadai wengine kina Kabila wanaingia misituni kuyatafuta. Sisi tunayadai kwa amani mnatuua!

    John Heche, Tabora Haya tunayodai wengine kina Kabila wanayatafutia wakiwa misituni. Sisi ni chama cha amani lakini bado mnatuwinda, mnatuua! ################# Maoni yangu SERIKALI NA WATANGANYIKA Mmewahi kujiuliza, hivi huko Congo, Sudan, Somali, nk nk nk Silaha zilifika fikaje kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania RESOLVED Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA

    MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji haya mazao kwa wingi

    Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji haya mazao kwa wingi

    Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
  12. R

    JamiiForums Tanzania Matamshi kama haya! Watatufanya nini majeshi yote ya kwetu!

    Kesho yetu anaijua Mungu. Matamshi ya watatufanya nini, tutawau, tutawateka, tutawabambikia kesi watatufanya nini?
  13. JamiiForums Tanzania Unataka kusajili jina la biashara yako BRELA? Epuka makosa haya 5 yanayoweza kukuchelewesha!

    Wafanyabiashara wengi wanapotaka kusajili majina ya biashara zao, hukumbana na changamoto zinazoweza kusababisha maombi yao kuchelewa au kukataliwa. Mara nyingi, changamoto hizi hutokana na makosa madogo ambayo yangeweza kuepukika kwa kupata mwongozo sahihi. YAFUATAYO NI MAKOSA 5 MUHIMU...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvunja haya mahusiano

    Wakuu.... Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza. Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu"..... Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane. Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kwamba kuna MTANZANIA ambaye ni MTAKATIFU? Haya tiririka nami

    Mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi (pia anajulikana kama John Mary Muzeyi) alikuwa Mkristo Mkatoliki kutoka Tanzania ya sasa, na wa mwisho kati ya Wafiadini wa Uganda kuuawa kwa ajili ya imani yake. Maisha na Historia Kuzaliwa: Alizaliwa Kagera (Tanzania), katika kitongoji cha Kyanumbu, kijiji...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna maumivu halafu kuna haya maumivu yangu🤔

    Leo nimenyoa ila sioni akitokea , 🤔 napiga simu ananiambia nisubiri tu , hapa dude lina pumulia mipira tu, kama black mamba , huku likifutuka kama cobra 😄 NawZa nipotezee au niilowekee tu , au niipime kwanza halafu niiloweke kibabe mno, kwa hawa wahaya hapa nilipo au ni vunge tu🤔
  18. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya Man United na Bournemouth kama Carrick hatafukuzwa itakuwa maajabu ya Dunia

    Timu ya Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina alama 7 ikiwa moja zaidi ya Nottingham Forest ambayo ipo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League. Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya. Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchepuka na malaya ndio haya.

    Unajua mwanaume akichepuka sio case sana, labda kama akizaa na mwanamke wa nje, na mara nyingi yeye hata kuwa in the position to keep the child mpaka mtoto afikie kuanza kusoma na vitu kama hivyoo Ila mwanamke akichepuka, anaangamiza jamii kiujumla, yaani anakuwa in the position to hurt the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…