Habari za wakati huu wana JF,
Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya.
Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA...