haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Bwana yawezekana kupitia machozi haya kesho yangu haitakuwa hivi tena

    BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏 Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
  2. P

    Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  3. Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  4. Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  5. B

    'Nikipata kile kiasi nusu yake nitaweka nitatunza" maneno haya si mageni

    Za asubuhi wapambanaji mapambano mema. Mufanikiwe katika Harakati zenu za Kila siku. 'Msisahau kuweka akiba. " maneno haya si mageni... Kuna maneno ambayo si mageni masikioni?? Ebu tuyataje
  6. Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya. Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
  7. Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  8. Rafiki huwa anapenda kuniambia maneno haya

    “Mhaya, kwenye maisha yako kamwe usiwaingilie watu wa jinsi tofauti ambao wamewahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi.” Anamaanisha nini? Usijifanye sana mshauri kwenye doa za watu, usijifanye kupeleka maneno kule ili watu waachane. Usijifanye kumuwekea dhamana mwanamke ama mwanaume kwamba...
  9. Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media. they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani...
  10. M

    Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  11. Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  12. 2024 US Election Results: Too Big To Rig, Really?-Makubwa Haya!

    Salaam wanajamii na hasa wafuatiliaji wa jukwaa hili. Ni jana tu tumepata matokeo ya uchaguzi ya ndugu zetu wa Marekani, ambapo Trump, Donald aliibuka Kidedea. Sema nimeshangazwa kwa nini jukwaa hili halikuchangamkia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani! Wadau wataeleza. Trump apongezwe kwa...
  13. K

    Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  14. Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  15. Hii kero ni kwa shule hii Tu au huko kwengine yapo haya?

    Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge. Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita...
  16. B

    Haya yanayoongelewa katika hili je ni kweli

    😀😀
  17. Mwanaume tengeneza ndoa tulivu kwa kufanya haya

    1.mpende kwa maneno mazur mkeo 2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar 3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine 4.jar ndugu zake au marafiki 5.show show kitandan fanya...
  18. MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  19. Nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya Father Christmas

    Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas. Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha...
  20. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…