Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana.
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi.
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM.
Maalim Seif kule ACT Wazalendo.
Chama pale Simba SC.
Mbowe hapo Chadema nk.