hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

    Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" Ole wake Tanzania Tusipoisaidia Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
  2. B

    Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  3. Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
  4. Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

    Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa. Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga. Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
  5. Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

    Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip). Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake. Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
  6. Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  7. Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  8. B

    Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  9. Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

    Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa. Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
  10. Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  11. Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  12. Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

    Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu. Ni nini mzizi wa haya yote? Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
  13. Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  14. Hayati Karume aliukataa mchezo wa ndondi Zanzibar leo unarudishwa. Je, tunatafuta laana yake kilazima?

    Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
  15. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  16. Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

    Wasalaam JF, Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World. Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
  17. Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  18. Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  19. K

    Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  20. Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

    Hii nini unaropoka kama mtoto bhana 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…