Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Wanabodi,
Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku zote, serikali hukusudia mema kwa wananchi wake na kwasababu hiyo ni vyema kuipongeza serikali ya...