Mafundi ujenzi Nchini Ubelgiji wamejikuta katika tukio lisilo la kawaida baada ya kugundua hazina ya dhahabu yenye thamani ya euro milioni 9, zaidi ya shilingi bilioni 29 za Kitanzania wakati wakikarabati jengo la zamani Mjini Dendermonde.
Ugunduzi huo umetokea wakati Wafanyakazi hao wakiweka...