Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na wa Kiume.
Mpango ametaja idadi ya matukio ya unyanyasaji dhidi ya Wanawake yaliyoripotiwa kwa mwaka 2021 yalikuwa 20,897 na mwaka 2020 yalikuwa 28,126...