Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, Mh Heche amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime
Mpaka sasa uhamiaji wamechukua hati ya kusafiria ya Mh...