Takwimu zimekuwa zikitolewa miaka nenda rudi, kweli hili ni swala ambalo mpaka leo halijapatiwa ufumbuzi mpaka kutolewa maagizo bungeni kuwa vijengwe vyumba vya wasichana kujisitiri kipindi cha hedhi?
Tunataka kumkomboa mtoto wa kike katika elimu lakini juhudi ni ndogo sana katika kufanikisha...