VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA
VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.
Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa mita (mzingo) labda nikapata mita 120 nikafanya ulinganifu kwa heka1 ina mzunguko wa 280m je 120m ni...
Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo.
Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.
Shamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.