Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili
BEi: 15 million
Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa
Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k
Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami.
karibu PM tuzungumze.