MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG!
Vikao 10 sasa !!!
Britanicca
#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI
Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
TAREHE 7/01/2024
" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...."
TAREHE 13/01/2024
"Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho...
Wakati tunaendelea kuchakata DP World,
Hawa wamakonde OG walikua wengi sana Dar es Salaam, wakati huo mji umejaa mikorosho na haukua na heka heka.
Hawa watu kila waendako walikua wanabadili majina na walikua wanajipa jina lolote litakalo kuwa mbele yao, mathalani: Konokono, Fiat, Train n.k...
Wengi walisoma hizi hadithi zamani. Ngoja tujikumbushe humu. Pia unaweza kusioma ndani ya maktaba app na vingine zaidi ya 60. Tupm au namba 0715278384 ukitaka kuungwa.
HEKAYA ZA ABUNUWASI NA HADITHI ZINGINE
Bombay; London: Macmillan,1942.
pictuspublishers@gmail.com
Pictuss, 2021
YALIYOMO...
Wasalaam wana JF
Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone. Nimekua sasa, hakika ya ulimwengu na malimwengu ni mengi na ya kustaajabisha.
katika kipindi fulani niliaminishwa kwamba kuwa mnyonge ndiyo alama ya uzalendo na kwamba asiye utaka unyonge ni kibaraka wa mabeberu au ni beberu kuu lenyewe...
HADITHI YA NJIA YA KUKAMATA MWIZI
ZAMANI za kale alikuwako mtu mmoja aliyekuwa na rasilmali yake, rupia elfu akazitia ndani ya mfuko akazifungia ndani ya sanduku lake. Hapana mtu aliyejua habari hii ila yeye na mkewe. Siku moja huyu mwenye nyumba ikampata safari ya kuondoka kwenda mbali...
Vibonge ziii!
Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka.
Tuwe makini wala mlenda wana makusudi.
Naendelea...
Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. Tucheki 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama saba. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote.
ORODHA YA VITABU NA BEI
1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest...
Kama tujuavyo enzi za Simba wa Yuda nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na marupu rupu mengine ya wafanyakazi yalisimama,
Na hata mshahara huu wanaopata watumishi ni ule alioacha Jakaya Mrisho Kikwete..
Kumekua na Hekaya nyingi na ahadi nyingi!
Lakini kwa ujasiri MAMA katika mei Mosi ya...
Habari zenu wapendwa natumaini mpo wazima wa Afya,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu kuhusiano na ugonjwa wa uviko ulioanza mwanzoni mwa 2020 kwa Tanzania.
Kwanza ningependa kufafanua kwanini nimeuliza swali la namna hiyo?
Naomba tiririka na Mimi katika kisa hiki kifuatacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.