hekima

Hekima College is a Jesuit school of theology in Nairobi, Kenya, affiliated with the Catholic University of Eastern Africa. It opened in 1984 as a seminary for Jesuits studying to be priests. Since its opening, Hekima has diversified its student base. In 2004 it opened the Institute of Peace Studies and International Relations (HIPSIR).

View More On Wikipedia.org
  1. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  2. Tuangalie na kusikiliza hekima zilizo kuu za Mh. Lukuvi, tutapata jambo hapa.

    Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida, Get listen!👇
  3. J

    Nipate maoni yako, katika Video hii Hekima iko wapi?

    Tafadhali angalia video hii ya dakika 2 halafu utoe maoni yako hekima iko wapi kati ya makundi hayo mawili
  4. R

    Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  5. Kwenu Watanzania wenzangu: Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho

    Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
  6. Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  7. Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

    Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo...
  8. Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

    Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda, anakuja na gia ya kukopa, kumbe hana nia ya kurudisha, usimkopeshe, mpe aende. ³Leo familia nyingi...
  9. T

    Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  10. Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

    Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha. Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii. Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali...
  11. Dunstan Kitandula: Hekima za Viongozi Wetu Zilitumika Dhidi ya Migogoro

    MBUNGE DUNSTAN KITANDULA - HEKIMA ZA VIONGOZI WETU ZILITUMIKA DHIDI YA MGOGORO "Naiomba serikali yangu itusikie, walisaini document ya makubaliano lakini baada ya makubaliano hayo Bado kumekuwa na chokochoko za jeshi la ulinzi la Kenya kuingia kwenye maeneo yetu lakini wananchi wetu walipoingia...
  12. Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  13. Orodha ya watu wenye hekima Tanzania: Hekima ya siasa zidi ya Hekima ya uongozi na jinsi ya kupata Hekima ya uongozi na siasa

    1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
  14. Hekima ya siasa zidi ya Hekima ya uongozi na jinsi ya kupata Hekima ya uongozi na siasa

    1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
  15. Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

    Mwanancha namba moja. 1. Rais Samia Suluhu Hassan 2. J.M Kikwete. 3. Edward N. Lowasa 4. Simbachawene. 5. Mizengo Kayanza Pinda. 6. Benard Membe. 7. Hussein Mwinyi. 8. Jokate Mwegero. 9. Masauni. 10. Dkt. Philip Mpango. Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda...
  16. Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

    Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni. Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini? Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
  17. M

    Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  18. S

    Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
  19. Chanzo cha mali ya hekima: Majina ya Barahatiyah na faida zake

    Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu, Photo by Rakims on Rakimspiritual.com na Mwenyezi Mungu utabaki...
  20. S

    Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…