Salamu wakuu,
Imekuwa kawaida watu kufanya sherehe baada ya ndoa kufungwa makanisani. Wengi wetu tumekuwa tukilazimika kuharibu bajeti na akiba zetu ili sherehe iwe kubwa ama kufurahisha wazazi, wakwe, mke, washkaji.
Kuna bwana harusi mmoja baada ya harusi akatuambia kwenye shughuli yake...