Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa hiyo niliiona kwenye madokezo ya Ofisi ya Makamu wa Rais.
Hata hivyo, katika baadhi ya maeneo kama...