Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu...