Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...