Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu.
Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu.
Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za wananchi, grants lakini pia magawio kutoka mashirika yake lakini pia mikopo ambayo hulipwa badaye na...