Wakuu,
Kuna ujumbe huu umekuwa ukisambaa sana kwenye magroup za Whatsapp na nyingine zikitumwa na watu unaowafahamu.
Kuna mtu nimemwambia huu ni utapeli anabisha anaona kama namnyime fursa. Naomba mtusaidie kuhakiki hii, kama nitakuwa nimekosea nisiwakoseshe watu na fursa, kama ni habari ya...