hereni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    watu wa Dar es Salaam punguzeni ujuaji muwapo mikoani, Mwanaume kuvaa hereni mikoani ni mwiko

    DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k. Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni...
  2. Equation x

    Ni nini chanzo cha kijana wa kiume kusuka ama kuvaa hereni?

    Nyakati hizi ni kawaida kumuona kijana wa kiume akiwa amesuka ama kuvaa hereni. Zamani tulikuwa tukiwaona wasanii ndio walikuwa wakivaa hivyo labda lengo likiwa ni kutaka kujitofautisha na wasio wasanii. Lakini bado kulikuwa na maswali ya kujiuliza. Leo hii ata wasio wasanii, ni kawaida kabisa...
  3. Evelyn Salt

    Nauza hereni za dhahabu....

    Matajiri hamjambo...... Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru... Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao. Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi. Risiti nlionunulia ipo...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

    Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa. Hawa...
  5. MaylaGladson

    Jipatie Hereni na Cheni kwa bei nzuri sana

    Hellow Wapendwa wa Jamiiforums, Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka. Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
  7. GoldDhahabu

    Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

    Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana. Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni. Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

    Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana. Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
  9. R

    Mbunge Tabasamu: Ng'ombe dume ikivalishwa hereni itapungukiwa nguvu za kiume, wa Pwani wakavalishwe tu

    Mbunge Hamis Tabasamu wa Sengerema, Mwanza amesema ni sawa kwa ng'ombe wakike kuvalishwa hereni ikiwa wanataka wapendeze kama binadamu, lakini suala hilo kwa ng'ombe wa wakiume haliwezekani kwani makabila yenye ng'ombe wengi kama Wamasai, Wakurya, Wasukuma hawakubali. Akihojiwa na Mwandishi...
  10. benzemah

    Sakata la hereni za ng'ombe bungeni, Msukuma amtaja mbunge wa Kibaha kufaidika na mradi huo

    Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA KIELEKTRONIKI KWA MIFUGO HASA NG'OMBE Katika hotuba iliyowasilishwa ilielezwa kuwa...
  11. Suley2019

    Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  12. Mkanaani

    Naomba kujua bei ya gold kwa gram kwa hii pete na hereni zake inaweza kuwa sh. ngapi?

    Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya. Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf...
  13. saidoo25

    Majaliwa ashtukia upigaji wa Bilioni 8 za zoezi la hereni za mifugo

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
  14. JanguKamaJangu

    Waziri Ndaki aelezea zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki Nchini

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi. Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  16. J

    Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
  17. FRANCIS DA DON

    Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  18. I am Groot

    Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

    Hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa. Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa namna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
Back
Top Bottom