hero

  1. Top Gun

    Habari mimi ni mpya humu

    Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
  2. Pascal Mayalla

    Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

    Wanabodi Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!. Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa...
  3. Mad Max

    Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  4. M

    Zanzibar imefika huku! Kunani?

    Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki? Hakuna madokta wanaume? Hii inafundisha...
  5. marcoveratti

    Kwa Gates Thanos ni hero

    Kwenye movie za Marvel nimeona Villains wa bad wengi sana kama vile Loki , Dr Doom Kang the conqueror na wengine kibao. Ila hawa wote wachumba tu kwa Thanos, mwamba aliwapa shughuli pevu Avengers mpaka kusababisha Kifo Cha Tonny stak(Iron Man) ni huyu jamaa THANOS mwamba kabisa. Mchizi...
  6. Bob Manson

    The whole world's a stage folks.

    "Whenever people needs a hero, we shall supply him" ~ Albert like The best way to control the opposition is to lead it ourselves.” ~ Vladimir Lenin Order out of chaos and their created Messiah and hero will be. Trump the puppet that ushered this all in as they deceive you with the fall guy...
Back
Top Bottom