hersi ashida tuzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    Eng Hersi ashinda tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango zaidi Africa

    Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika. Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na...
Back
Top Bottom