Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi...