Habari wakuu, Heshima yenu popote mlipo
Naanza kwa kunukuu
Wakolosai 3:18-19
"Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao".
Huwa najiuliza kwa nini Mungu alimuaguza mwanaume kumpenda mkewe huku mke akiagizwa kumheshimu...