Kwa sehemu kubwa hisia tunaweza kuzielezea kama kiashiria kinachokutahadharisha au kutupa msukumo juu ya jambo fulani.
Hisia zinaweza kukuepusha na majanga lakini pia zinaweza kukupeleka katika majanga makubwa yatayopelekea majuto katika maisha yako yote.
Fikiria ni jambo gani baya limewahi...