heslp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    Amehitimu form four mwaka jana na amechaguliwa kusoma diploma, je ana sifa ya kuomba mkopo HESBL?

    Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma? ==== Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
Back
Top Bottom