Shirika la Afya Duniani, WHO leo limeimarisha miongozo yake ya ubora wa hewa, likisema uchafuzi wa hewa kwa sasa ni moja ya kitisho kikubwa cha kimazingira kwa afya ya mwanadamu.
Shirika hilo limesema uchafuzi wa hewa unasababisha vifo milioni saba kwa mwaka na kwamba hatua za haraka zinapaswa...