Huyu Mwamba, mnamo mwaka 1982, alimfurusha Rais Moi Ikulu na akachukua nchi.
Ilikuwa hivi!! Hezekiah Ochuka, alikuwa ni mwanajeshi wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Kenya. Inasemwa alikuwa ni rubani matata sana na mtundu. Mwaka 1982, akiwa kikosi cha anga, aliamua kuteka Airforce One na kuingia...