Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa...